
So we are, H_art the band H-underscore-A-R-T the band, ha-ha-ha And now the big man himself Bensoul, 254, and Cedo (Hahahahaha) Ha-ha-ha-ha, Cedo Oh boy, ha Msupa wangu anataka masheesha Na kwa mfuko pesa zangu zimeisha Na yule waiter ananitisha Ati ma-bouncer atawaita Na huyu dem bado anaitisha Na mi nashindwa sasa venye nitazusha Tulipatana juzi kwenye Insta-grrram Na mi sitaki choma picha Itakua ngori, sikiza story Wacha kuckeka, hii ni ngori, nilimwacha bila sorry Na ukicheza utapatana na ye, patana na ye Patana na ye, ye, ye, ye, ye (Demu wa masheesha) Utapatana na ye, patana na ye Patana na ye, ye, ye, ye, ye, ye (Demu wa masheesha) Utapatana na ye, patana na ye Patana na ye, ye, ye, ye, ye (Demu wa masheesha) Patana na ye, patana na ye Patana na ye, ye, ye, ye, ye, ye-eh (Demu wa masheesha) Kwenye profile, mimi ni lawyer Kizungu tamu kama ile ya Lumumba Lakini ukweli, mimi ni hawker Nina thao mbili, manze, leo kulidhoka Makanjo walinishika Hata ni bahati, stenje, bado sijafika Na huyu dem, zake bado hazijashika Mzinga tatu sasa zimekatika, eh Itakua ngori, (Woi, woi, woi) sikiza story (Oh no) Wacha kuckeka, hii ni ngori, nilimwacha bila sorry Na ukicheza utapatana na ye, patana na ye Patana na yeye, wewe (Demu wa masheesha) Utapatana na ye, patana na ye Patana na yeye, wewe (Demu wa masheesha) Ukicheza utapatana na ye, patana na ye Patana na yeye, wewe (Demu wa masheesha) Utapatana na ye, patana na ye Patana na ye, ye, oh, oh, woah, woah (Demu wa masheesha) Sasa nawaza vile nitaenda choo Nitoroke huko nyuma, backdoor Akinisaka, asinipate ng’oo Akiuliza, aambiwe nime-go Lakini vile mi naenda kuchomoka Yule waiter akaniona Hiyo bill akai-drop, na kwa mfuko, mimi sina hata bob Itakua ngori, huh, sikiza story Wacha kuckeka, hii ni ngori, nilimwacha bila sorry Na ukicheza utapatana na ye, patana na ye Patana na yeye, wewe, eh (Demu wa masheesha) Utapatana na ye, patana na ye Patana na yeye, wewe, eh (Demu wa masheesha) Utapatana, patana, patana, patana Patana na yeye, wewe, yeah (Demu wa masheesha) Utapatana na ye, patana na ye Patana na ye, ye, woah, woah (Demu wa masheesha) Utapatana na ye, patana na ye Patana na ye, yeah (Demu wa masheesha) Unaweza patana na ye, patana na ye Patana na ye, ye, ye-ye-ye (Demu wa masheesha) Unaweza patana na ye, patana na yeye Patana na ye, yeah (Demu wa masheesha) Oh, utapatana na ye, patana na ye Patana na yeeh, yeye, yeye, eh (Demu wa masheesha)
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Bensoul
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,448

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891

