
~ Jilly Beatz ~ Oooh… Baby mi nakupenda Baby mi nakupenda ~ Mr. Lash ~ Ey Nahisi kama vile we ni Sita na mi ni Ram Mafisi vile wanaleta vita utadhani Ramayan Na wako busy wanazua visa, hawa binadam Machizi vile wanapitapita kweli hii ni mitihani Ey Na Waga sina raha Nikikosa tabasamu lako mapozi na vile wanikiss kiss Tumetoka far Nakosa kabisa hamu ya msosi vile nakumiss miss Ninawashangaa Hawa binadamu wanaleta goz goz daily wanadiss diss Tena nitatabasamu siku ya harusi vile wengi tutapiss piss ~ Jilly Beatz ~ Kutwa wantuwinda, Mpenzi Watasema mchana, usiku watalala Maneno yao watashindwa, Hawawezi Watasema mchana, usiku watalala ~ DON SANTO ~ Nimewahi kushikilia wengine hapo awali, Lakini haikuwa kama hii, Your the one I love Ambapo mwili wangu unakuvuta Na watetemeka kwa neema Ambapo hisia zangu zinahangaika Kutoka kwa nguvu ya hamu Aram tapa tapa you’re my best friend, finest My darkness turns into brightness My sadness turns into happiness Mmh You’re my lover; My one and only; I love you! I love you! I love you! I love you! Eeeiy! ~ Jilly Beatz ~ Kutwa wantuwinda, Mpenzi Watasema mchana, usiku watalala Maneno yao watashindwa, Hawawezi Watasema mchana, usiku watalala ~ Mr. Lash ~ Acha walete compe Watapatana na makofi kibao, na fimbo za Bamboo Tucheze Alous Mabele Samba mapangala, Kofi, Defao, na nyimbo za Madilu Na Usiskize matajiri, hili swala la mahaba waeza niita pia mi Kassim Wasikuchezee akili, mbona sisi twala ama labda pesa ya pizza kwetu ni adim Wanasema umepanda bei Tattoo mwilini wachora tu za bae Mambo yatajipa twende holiday Sema we ni wangu Sanaipei ~ Jilly Beatz ~ Kutwa wantuwinda, Mpenzi Watasema mchana, usiku watalala Maneno yao watashindwa, Hawawezi Watasema mchana, usiku watalala
Песен-НИКИ
Загрузка...
Другие песни Badman Killa
Все песни →Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,446

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891



