
Subiri mkeka … subiri mkeka Its Andre K Hapa nshaweka nadhiri, mpaka nipige hizo pesa Nina mipango kamili, ya kuwa Tajiri ka ndesa Kwanza naamka saa 2, usafi wa mwili ka Jombira Kisha nacheki na shiling ntalipa bili, supu chapati kwa Bob Chaa Napitia vocha kwa mnama, nipate dakika bando Narudi ghetto nainama, vipi uhakika wa dabo Mami anasema, hali mbovu, namjibu mamii, usiwe na hofu Mkeka wa juzi alichana juve, acha leo Man afungwe Naona milioni kwenye odds nying, naanza kuchambua siweki pozi dingi Demu wangu anataka nae kwenda saloon Hataki kwenda kesho namuweka mbavuni Mhindi akilia mamii utacheka Ngoja hiyo kesho subiri mkeka Subiri subiri, subiri mkeka Subiri subiri, subiri mkeka Mhindi akilia mamii utacheka Ngoja hiyo kesho subiri mkeka Subiri subiri, subiri mkeka
Песен-НИКИ
Загрузка...
Похожие песни

Бигасс
SODA LUV
Ничего личного
Русский рэп201975,449

Бандана
Платина
РНБ КЛУБ
Русский рэп201859,980

Свадебное путешествие
Александр Буйнов
Острова любви
Русская эстрада199954,906

Каспий жағалауы
Azamat
Поп200134,438

Шпилька-каблучок
Лолита
Анатомия
Русская эстрада201433,308

Девочка 2D
Dead Rave
Singles 15-17
Русский рэп201828,891